Skip to content
Recent posts
Ripoti ya Shughuli za 2024 Ukarabati wa Kliniki za Wataalamu Mafunzo ya Kardiolojia Ikonda Timu ya ENT ya Dk.Catalani katika Hospitali ya Ikonda Ripoti ya Shughuli za 2023
  • English (US)English (US)
  • ItalianoItaliano
  • SwahiliSwahili
updated on Earth Day 2025
Consolata Hospital Ikonda
P.O.Box 700, Njombe, Tanzania
You Tube
Find us on YouTube

Consolata Hospital Ikonda

Makete District, Tanzania

email
  • kuhushu sisi
    • dhamira yetu
    • historia
    • wafanyakazi wetu
    • wasiliana nasi
  • humuda
    • huduma za afya
    • ripoti za shuguli
  • miradi
    • mradi Campini
    • watoto makete
    • mashine mpya ya CT
    • miradi yetu iliyokamilika
      • Ufadhili wa Masomo kwa madaktari Bingwa
      • fisiotherapia ya ukarabati
      • mpya machine ya X-ray
  • habari
  • maktaba ya picha
    • picha za kihistoria
    • watu wetu wa kujitolea
    • NURU Center RCH
    • maabara ya patholojia
  • saidia

Ufadhili wa Masomo kwa madaktari Bingwa


Kwa zaidi ya miaka Mingi Hospitali ya Consolata imekuwa ikitegemea ufadhili wa watu wengi waliojitolea Toka bara la Ulaya ambao wamewezesha Hospitali kukua kwa kiwango Cha Juu katika huduma za Kiafya na kutoa mchango mkubwa wa kutoa mafunzo kwa Madaktari wenyeji, kuwahimiza kutafuta utaalamu wa matibabu, kwa mfano Daktari wa Mifupa, Urolojia, Matabibu Kiujumla, Magonjwa ya Uuzazi, Tiba za Ndani, Tiba za dharura na Radiolojia. Hospitali ilijitolea kikamilifu kuwawezesha Madaktari watatu katika ubobevu wao wa kitabibu. Mwaka 2022 wenyeji wetu ni Basati Masige (Tiba za Dharura), Lunginyo ilomo (Tiba za ndani), na Jonathan Mathayo (Mtaalamu wa Radiolojia).

Madaktari Bingwa katika Tanzania walipata Ufadhili katika Chuo ambacho kipo Jijini Dar Es Salaam, kwa zaidi ya kilomita 800 kutoka Ikonda, Gharama za usaili, Karo pamoja na Vitabu zinavyofikia Yuro 2,400–2,550 kwa mwaka mmoja kwa Mwanafunzi mmoja. Kwa kipindi Cha masomo Yao wenyeji wetu waliendelea Kupata kupokea malipo ya Yuro 8,000 kwa mwaka hii ilitolewa na Hospitali ili kuwezesha  Mahitaji Yao na Familia zao.

Mchango wa Yuro 3,800 itasaidia katika Karo na Makazi kwa mwanafunzi mmoja kwa mwaka , Gharama za Jumla kwa ajili ya program ya ufadhili ni Yuro 34,200 kwa miaka Mitatu, ambapo ni sawa na Yuro 11,400 kwa mwaka mmoja. Tunatoa shukran zetu za dhati kwa kujali kwako na kuonesha ushirikiano wako kwa kubeba Jukumu muhimu la kuwezesha kituo hiki muhimu cha Nchini Tanzania.


tusaidie
updated on Earth Day 2025
Consolata Hospital Ikonda
P.O.Box 700, Njombe, Tanzania
You Tube
Find us on YouTube

© All right reserved 2021

Medical Circle by Acme Themes
Call Now Button